As salam aleykum warahamatullah wabarakatuh ndugu katika Iymaan inatubidi tuishi kwa kuyakumbuka mauti kwani allaah ashatuarifu katika kitabu chake kitukufu ya kuwa kila nafsi itaonja mauti
leo sheikh nassor Bachu Allah amrehemu anatukumbusha juu ya kuyakumbuka mauti download hapa chini
Sikiliza online hapa chini
Kuwa karibu nasi kwa kutufuata katika mitandao ya kijamii
facebook page | Muislamu.com
Twitter | muislaamu
Instagram | Muislaamu1990
Post a Comment