VIPIMO
Maziwa 6 Vikombe
Sukari ½ Kikombe
Embe Iliyochujwa nzito 1 kikombe
Namna ya kutayarisha
Changanya maziwa, Sukari na urojo mzito wa embe kwenye blenda yako na vipande vya barafu mpaka litowe povu
Mimina kwenye Jagi Tayari Kunywewa
Kidokezo
Ukipenda unaweza kutumia Rojo la embe lililokuwa tayari kwenye kopo (Mango Pulp)
Meat Tarts With White Sauce
-
Ingredients:
Dough:
1½ cups flour
½ tsp salt
½ cup chilled butter pieces
4-5 Tbsp cold water
The filling:
Cooked minced meat (or chicken pieces), ...
Post a Comment