HABBAT-SAWDAA INATIBU KILA KITU ISIPOKUWA MAUTI.


Yafuatayo hapa chini ni baadhi ya matatizo
na magonjwa ambayo yanaweza kutibika
kwa kirahisi kwa kutumia Habbat-Sawdaa.

Kwa faida ya Afya kwa ujumla:
Kunywa kijiko kimoja cha mafuta ya
Habbat-Sawdaa asubuhi na usiku, au
kunywa japo asubuhi kabla ya kifungua
kinywa, unaweza kunywa kijiko kimoja
cha mafuta peke yake au ukachanganya na
kijiko kimoja cha asali safi.

Vipele (chunusi) Na Ngozi:
Changanya na pasha moto kwa dakika mbili
kikombe kimoja cha Habbat-Sawdaa
iliyosagwa, ½ (nusu) kikombe cha maganda
ya komamanga yaliyosagwa, na ½ (nusu)
kikombe cha siki ambayo inatokana na juisi
ya tofaha (apple). Paka katika sehemu
inayotakiwa kabla ya kwenda kulala kila
usiku mpaka vipele (chunusi)
vitakapoondoka. Mchanganyiko unaweza
kukaa mpaka wiki tatu na ni lazima
uwekwe katika hali ya ubaridi.

Upara (Alopeshia):
Sugua mafuta ya Habbat-Sawdaa katika
mabaka yanayokusumuba.
Pumu:
Tia ½ (nusu) kijiko cha Habbat-Sawdaa
iliyochemshwa katika maji ya
yaliyochemshwa kisha unywe moto.
Kuumwa kwa Mgongo (Sehemu ya Chini):
Changanya asali pamoja na ¼ (robo) kijiko
cha Habbat-Sawdaa na iwe kitu cha kwanza
kunywa wakati wa asubuhi kabla ya
kufungua kinywa.
Mwiba Wa Nyuki Na Nyigu:
Tia ½ (nusu) kijiko cha Habbat-Sawdaa
iliyochemshwa katika maji ya
yaliyochemshwa kisha unywe moto.
Kibofu cha Mkojo/Figo:
Kunywa maji ya moto yaliyochanganywa
na½ (nusu) kijiko cha Habbat-Sawdaa
pamoja na asali kila asubuhi kabla ya
kufungua kinywa. Changanya vikombe
viwili vya Habbat-Sawdaa iliyosagwa na ½
(nusu) kikombe cha asali safi. Kunywa
kijiko kimoja cha mchanganyiko pamoja na
kikombe kimoja cha maji ya moto kila
asubuhi kabla ya kufungua kinywa.
Mchanganyiko unaweza kukaa kwa siku 15
na ni lazima uwekwe katika hali ya ubaridi.

Jiwe La Figo:
Kikombe kimoja cha Habbat-Sawdaa
iliyochanganwa pamoja na gilasi (bilauri)
moja ya asali, vitunguu saumu vitatu
vilivyosagwa na karafuu. Changanya
vitunguu saumu pamoja na asali na Habbat-
Sawdaa. Kunywa kijiko kimoja kabla ya
kula chakula na kwa pendekezo kula limau
(bila ya kumenywa). Rudia haya kwa wiki
moja Insha-Allah jiwe litaondoka.
Maathiriko Ya Figo:
Changanya baadhi ya Habbat-Sawdaa
pamoja na mafuta ya alizeti. Chukua
mchanganyiko na weka katika sehemu
ambapo figo limeathirika. Kunywa kijiko
cha Habbat-Sawdaa asubuhi. Rudia haya
kwa muda wa wiki moja Insha-Allah
maathiriko yatatibika.

Mafua:
Chukua mbegu za Habbat-Sawdaa 21,
ziweke katika kitambaa na roweka usiku.
Tumia kama matone kwenye pua siku ya
pili nusa poda ya Habbat-Sawdaa iliyomo
katika kitambaa.

Kikohozi:
Tumia matone matatu au manne ya mafuta
ya Habbat-Sawdaa kwenye kahawa au
chai.

Bawasiri:
Kula unga wa Habbat-Sawdaa pamoja na
maji.

Shinikizo la damu (high blood pressure):
Changanya kijiko kimoja cha Habbat-
Sawdaa iliyosagwa, kijiko kimoja cha asali
safi na kitunguu kiasi kidogo. Chukua
mchanganyo kabla ya kufungua kinywa
kwa siku ishirini.

Uwasho Na Maumivu Ya Jino Na Ufizi:
Chemsha Habbat-Sawdaa katika siki na
itumie kwa kusukutulia meno na ufizi. Na
jikinge kutumia dawa za msuwaki za
kibiashara na tumia dawa za msuwaki
ambazo zinatengenezwa kutoka kwenye
nyuzi za mboga za mti wa siwak ambao
kwa karne ulikuwa unatumiwa na Wahindi,
Waafrika na Waarabu, ni msuwaki wa
kiasili.

Kumbukumbu (memory):
Kunywa kijiko kimoja cha unga wa Habbat-
Sawdaa na changanya na asali mara mbili
kwa siku.
Utaratibu Wa Ulinzi Wa Mwili:
Kula kijiko kimoja cha Habbat-Sawdaa na
asali mchana na usiku Kutoweza kuzuia
haja ndogo (mkojo): Kunywa kijiko kimoja
cha Habbat-Sawdaa pamoja na asali, kisha
kunywa maji ya vugu vugu.

Jaundice:
Tumia Habbat-Sawdaa pamoja na maziwa.
Maumivu Sugu ya kichwa (Maumivu ya
kichwa ya upande mmoja, maumivu ya

kichwa):
Kaanga Habbat-Sawdaa na iweke katika
kitambaa cha pamba, funga au weka tu
kitambaa katika kikomo (kipaji cha uso).
Roweka Habbat-Sawdaa ndani ya siki
wakati wa usiku, siku ya pili ivuruge
kufanya unga. Ingiza katika pua halafu
vuta pumzi.

Ngozi kavu:
Changanya asali pamoja na robo kijiko cha
Habbat-Sawdaa na iwe kitu cha kwanza
kunywa wakati wa asubuhi kabla ya
kufungua kinywa.

Upepo:
Changanya asali pamoja na robo kijiko cha
Habbat-Sawdaa na iwe kitu cha kwanza
kunywa wakati wa asubuhi kabla ya
kufungua kinywa.

Minyoo:
Kunywa Habbat-Sawdaa pamoja na siki
kuondoa minyoo.

<<<<<<<<<Inaendelea>>>>>>>

0 Comments