Sharbati Ya Maziwa Na Shira Ya Rozi


Vipimo
Shira Ya Rozi (rose syrup)                          ½ kikombe cha chai

Vipande vya barafu                                       1 Kikombe cha chai

Maziwa                                                        4 Kikombe cha chai 

Namna Ya Kutayarisha


1.  Tia maziwa, shirah ya rozi na barafu katika jagi la kusagia (blender)
2.  Saga kwa muda wa dakika moja au mbili.
3.  Mimina sharbati kwenye gilasi ikiwa tayari.

0 Comments