Video yenye kutoa machozi na yenye kufunza umuhimu wa kutoa na kulisha mafaqiri na maskini kwa ajili ya Allah.
Tizama video hii iliyotafsiriwa kwa kiswahili na uizingatie.
Ukitaka kutumiwa video hii tuma ujumbe uloandikwa UMUHIMU WA KUTOA SADAKA kwenye whasapp kupitia nambari zetu +255777-477599.
UMUHIMU WA KULISHA MASIKINI NA MAFAQIRI KWAAJILI YA ALLAAH
Abu Ghufairah
15:54:00
0
Comments
Tags
Related Article

0 Comments