الحديث الثالث
"بني الإسلام على خمس"
عن
أبي عَبْدِ الرَّحْمنِ عَبْدِ اللهِ بنِ عُمَرَ بنِ الخَطابِ رَضيَ اللهُ
عنهُما قال: سَمِعْتُ رسُولَ الله صلى الله عليه وسلم يقولُ: (( بُنَي
الإسلامُ على خَمْسٍ : شهادَةِ أَنْ لا إلهَ إلا اللهُ وأَنَّ محمَّداً
رسولُ اللهِ، وإقَامِ الصَّلاةِ، وإيتَاءِ الزَّكاةِ، وحَجِّ البَيْتِ،
وصَوْمِ رَمَضَانَ )).
رَوَاهُ الْبُخَارِيُّ
HADITHI YA 3
NGUZO ZA KIISLAMU NI TANO
Kutoka kwa Abu Abdur-Rahman Abdullah Ibn 'Umar Ibn Al-Khattaab رضي الله عنه Ambaye alisema: Nilimsikia Bwana Mtume صلى الله عليه وسلم akisema: Uislamu umejengwa kwa nguzo tano:
Shahada
kuwa hakuna Mola apasaye kuabudiwa isipokuwa Allaah na Muhammad ni
Mjumbe wake, kuswali, kutoa Zaka, kuhiji (Makka) na kufunga
Ramadhan.
Imesimuliwa na Al-Bukhari na Muslim
Sikiliza hapa chini
Post a Comment