Vinavyohitajika |
Kipimo |
Kabeji likatekate jembamba Karoti ikate kate Pilipili mboga la kijani (capsicum) Nyanya/tungule 2 katakata |
½ (Nusu) size ya kiasi 1 2 2 |
Sosi Ya saladi |
|
Siki ya Tufaha (apple cider vinegar) |
1 vijiko vya supu |
Mafuta ya halizeti (olive oil) |
3 vijiko vya supu |
Chumvi |
Kiasi |
Pilipili nyekundu ya unga |
½ kijiko cha chai |
Namna Ya Kutayarisha Na Kupika
- Changanya vitu vyote katika bakuli
- Wakati wa kula, tia sosi (dressing)
![]() |
Saladi Ya Kabeji Na Pilipili Mboga (Hoho) Na Karoti |
Bis-swihhah wal-hanaa (kunywa kwa siha na kufurahika)
Post a Comment