INSTALL APP YA BLOG HII KWENYE SIMU YAKO KUTOKA PLAYSTORE KUSOMA HABARI ZETU KWA URAHISI ZAIDI

As salaam aleykum warahamatullah wabarakatuh ndugu katika Iymaan hatuna budi kusema Alhamdulillah kwani allaah ametuneemesha urahisi wa kusogea karibu nawe kupitia App yetu iliyopo Play Store 

ili kumiliki app yetu kwenye simu yako fuata hatua hizi
Ingia kwenye playstore ya simu yako au Tablet Kisha tafuta jina hili MUISLAAMU hakikisha herufi zinakuwa sawa yaani herufi A lazima ziwe mbili

itakuletea App moja tu yaani hii yetu 
kwasababu jina hili limetumika kwenye app yetu tu hivyo ukiona zimekuja app nyingi fahamu ya kuwa umekosea kuandika jina hili MUISLAAMU hivyo hakikisha unaandika jina kwa usahihi ikishaleta utabonyeza sehemu iliyoandikwa INSTALL ikimaliza utaona muonekano kama huu kwenye picha hapa chini
Masha allaah mpaka hapo utakuwa umefanikiwa kuwa karibu nasi kupitia simu yako sasa tutaanza kukutumia kila habari, mawaidha na makala zote tutakazo kuwa tunaziweka hapa

sambaza habari hii kwa waislamu kadri utakavyojaaliwa 

 

0 Comments