MUISLAMU TV : SHEIKH NURDIN KISHK - UNYOAJI WA PANK NI HARAMU KATIKA UISLAMU

Waidhika na ndugu yetu nurdini kishk katika mada hii , akizungumzia Uharamu wa kunyoa panki (kiduku) katika sheria za dini yetu ya kiislamu. pia ili kupata mada , na mawaidha kwa njia ya video kila wakati tufuatilie katika channel yetu ya youtube Muislamu TV 

0 Comments