FADHILA ZA MWEZI WA SHA'ABAN- NABIY (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) ALIKUWA AKIFUNGA ZAIDI KULIKO MIEZI MINGINE

Imaam ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah) amesema: 
“Ama kuhusu Sha’baan, Naam! Ni mwezi makhsusi kuliko mingineyo kwa sababu Nabiy (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) alikuwa akikithirisha kufunga Swiyaam, bali alikuwa akifunga Swiyaam mwezi wote isipokuwa kidogo tu. Kwa hiyo inapasa kukithirisha Swiyaam katika Sha’baan.”
[Liqaa Al-Baab Al-Maftuwh174]

0 Comments