بِسْمِ اللَّـهِ الرَّحْمَـٰنِ الرَّحِيمِ
Ramadhwaan 1443H Mwezi
اللهُ أَكْـبَر، اللّهُمَّ أَهِلَّـهُ عَلَيْـنا بِالأمْـنِ وَالإيمـان، والسَّلامَـةِ والإسْلامِ، وَالتَّـوْفيـقِ لِما تُحِـبُّ وَتَـرْضَـى، رَبُّنـا وَرَبُّكَ اللهُ.
Allaah ni Mkubwa zaidi, Ee Allaah, Uanzishe kwetu kwa amani na iymaan, na usalama na Uislamu, na tawfiyq ya kile Unachokipenda na kukiridhia, Rabb wetu na Rabb wako ni Allaah. [Swahiyh At-Tirmidhiy (3/157)]
Kwa Munaasaba wa mwezi mtukufu wa Ramadhwaan, Muislamu Blog imewakusanyia faida mbalimbali za Ramadhwaan na yanayohusiana na hukmu za Swiyaam kwa ujumla.
0 Comments