Kuna kauli mbalimbali za Maulamaa kuhusu aina na kiasi cha najisi ambayo inaweza kuingia katika nguo au mahala au mwilini na inakuwa ni yenye kusamehewa.[1]
Isipokuwa kidhibiti cha najisi zinazosamehewa ni (kuwepo) udharura, kuenea kwa wingi pamoja na kuwa ni vigumu kujikinga nayo, na kuwepo tabu na uzito mkubwa katika kuiondosha.
[1] "Al-Fiqhu Al-Islaamy wa Adillatuhu" (169-177).
0 Comments