KUSAFISHA MENO KWA DAWA KUNABATILISHA SWAWMU

SWALI:

mimi naomba kuliza kwamba hivi inafaa mtu kusugua meno kwa kutumia daya ya meno wakat umefunga? ahsanteJIBU:

Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu 'anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwish

Inafaa kusugua meno kwa kutumia dawa kwani sio katika mambo yanayobatilisha Swawm.

Ingia katika kiungo kifuatacho upate maelezo kuhusu yanayoruhusiwa na yanayobatilisha Swawm.


Na Allaah Anajua zaidi

0 Comments