INSTALL APP YA AL QUR-AAN SWAHILI KWENYE SIMU YAKO KUTOKA PLAYSTORE

As salaam aleykum warahmatullah wabarakatuh ndugu katika Iymaan habari njema kwa wazungumzaji wa lugha ya Kiswahili baada ya kukamilisha tafseer ya qur-an katika site yetu hii tumewaletea na toleo la application ya android itakayokuwezesha kusoma qur-an yote katika lugha mbili kiarabu na kiswahili hata kama hauna bando bonyeza hapa kuweka katika simu yako au tablet.

0 Comments