SIRA YA MTUME ﷺ KUNYONYESHWA KWA BWANA MTUME ﷺ

Bwana Mtume  mara baada ya kuzaliwa alinyonyeshwa na mama yake Bi Amina Bint Wahab kwa siku kadhaa.
Kisha akanyonyeshwa na Bibi Thuwaybatul Aslamiyyah ambaye alikuwa ni mjakazi wa wa Ammi yake Mtume Abuu Lahab.Na huyu Thuwaybatu ndie pia aliemnyonyesha Hamza bin Abdul Muttalib.
Baada ya hapo ndipo waliamua kumtafutia mlezi na mnyonyeshaji kama ilivyokuwa ada na desturi ya Waarabu wakati huo.

0 Comments