023-Du'aa Za Nabiy (Swalla-Allaahu 'Alayhi Wa Aalihi Wa Sallaam): Kusaidiwa Kumdhukuru Na Kumshukuru Allaah Na Kumwabudu Vizuri

Du’aa Za Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam)

Kusaidiwa Kumdhukuru Na Kumshukuru Allaah Na Kumuabudu Vizuri اللَّهُمَّ أَعِنِّي عَلَى ذِكْرِكَ وَشُكْرِكَ وَحُسْنِ عِبَادَتِكَ
  
Allaahumma a’inniy ‘alaa dhikrika,  wa shukrika wa husni ‘ibaadatika

Ee Allaah nisaidie kuweza kukudhukuru, na kukushukuru na uzuri wa kukuabudu
[Abuu Daawuwd, Ahmad na kwa usimilizi tofauti kidogo kutoka kwa An-Nasaaiy. Wasia wa Rasuli wa Allaah (صلى الله عليه وآله وسلم) aliompa ‘Mu’aadh bin Jabal (رضي الله عنه)  aombe du’aa hii kila baada ya Swalaah].

0 Comments