Du’aa Za Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam)
Kuomba Ukunjufu Wa Rizki Katika Uzee Na Kukatika Umri
اللَّهُمَّ اجْعَلْ أَوْسَعَ رِزْقِكَ عَلَيَّ عِنْدَ كِبَرِ سِنَّي وَانْقِطَاعِ عُمُرِي
Allaahummaj-’al awsa’a rizqika ‘alayya ‘inda kibari sinniy wanqitwaa’i ‘umriy
Ee Allaah, Jaalia ukunjufu wa rizki Yako kwangu wakati wa uzee wangu, na kukatika umri wangu
[Al-Haakim, Swahiyh Al-Jaami’ (1/396), Ahaadiyth Asw-Swahiyhah (1539)]
Post a Comment