040-Du’aa Za Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam): Kuomba Taqwa Ya Nafsi Na Kuitakasa

Du’aa Za Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam)

Kuomba Taqwa Ya Nafsi Na Kuitakasa 041-Ee Allaah, Ipe nafsi yangu taqwa yake, Wewe ni Waliyy wake na…


 اللَّهُمَّ آتِ نَفْسِي تَقْوَاهَا، أَنْتَ وَلِيّهَا وَمَوْلاَهَا، وَخَيْر مَنْ زَكَّاهَا

Allaahumma aati nafsiy taqwaahaa, Anta Waliyyuhaa wa Mawlaahaa, wakhayru man zakkaahaa

Ee Allaah, Ipe nafsi yangu taqwa yake, Wewe ni Waliyy wake na Mlinzi wake na Mbora wa mwenye kuitakasa.

[Atw-Twabaraaniy (11:106) Kutoka kwa Ibn ‘Abbaas (رضي الله عنه)  kwamba Rasuli wa Allaah (صلى الله عليه و آله وسلم)  alikuwa akisita kila anapofikia Aayah: Na Naapa kwa nafsi na Aliyeisawazisha. Kisha Akaitambulisha uovu wake na taqwa yake.” [Ash-Shams 91: 7 -8] kisha huomba du’aa hiyo. Taz pia Majmau’ Az-Zawaaid (7/141) kwa isnaad Hasan]

0 Comments