051-Du'aa Za Nabiy (Swalla-Allaahu 'Alayhi Wa Aalihi Wa Sallaam): Kuomba Kinga Ya Shari Ulizotenda Na Shari Usizotenda

Du’aa Za Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam)

Kuomba Kinga Kutokana Na Shari Ulizotenda  Na Shari Usizotenda   اللَّهُمَّ إِنِّي أَعُوذُ بِكَ مِنْ شَرِّ مَا عَمِلْتُ وَمِنْ شَرِّ مَا لَمْ أَعْمَلْ

Allaahumma inniy a’uwdhu bika min sharri maa ‘amiltu wamin sharri maa lam a’-amal

Ee Allaah, hakika mimi najikinga Kwako kutokana na  shari nilizotenda na shari nisizotenda.

[Muslim,  Abuu Daawuwd, An-Nasaaiy,  Ibn Maajah, Ahmad]
0 Comments