052-Du'aa Za Nabiy (Swalla-Allaahu 'Alayhi Wa Aalihi Wa Sallaam): Kuomba Kinga Ya Shari Ya Masikio, Macho, Ulimi, Moyo Na Manii

Du’aa Za Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam)

Kuomba Kinga Ya Shari Ya Masikio, Macho, Ulimi, Moyo Na Manii


أللَّهُمَّ إِنِّي أَعُوذُ بِكَ مِنْ شَرِّ سَمْعِي وَمِنْ شَرِّ بَصَرِي وَمِنْ شَرِّ لِسَانِي وَمِنْ شَرِّ قَلْبِي وَمِنْ شَرِّ مَنِيِّي   

Allaahumma inniy a’uwdhu bika min sharri sam-’iy wamin sharri baswariy, wamin sharri lisaaniy wamin sharri qalbiy, wamin sharri maniyyi

Ee Allaah, hakika mimi najikinga Kwako shari ya masikio yangu na shari ya macho yangu, na shari ya ulimi wangu, na shari ya moyo wangu, na shari ya manii yangu


[Abuu Daawuwd , At-Tirmidhiy, An-Nasaaiy –Swahiyh At-Tirmidhiy (3/166) na Swahiyh An-Nasaaiy (3/1108)]

0 Comments