060-Du'aa Za Nabiy (Swalla-Allaahu 'Alayhi Wa Aalihi Wa Sallaam): Kinga Ya Uoga, Ubakhili, Uovu Wa Umri, Fitna Za Moyo, Adhabu Za Kaburi

Du’aa Za Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam)

Kuomba Kinga Ya Uoga, Ubakhili, Uovu Wa Umri,
Fitna Za Moyo, Adhabu Za Kaburi


  

 اللَّهُمَّ إِنِّي أَعُوذُ بِكَ مِنْ الْجُبْنِ، وَالْبُخْلِ، وَسُوءِ الْعُمُر، وَفِتْنَةِ الصَّدْر، وَعَذَابِ الْقَبْر
Allaahumma inniy a’uwdhu bika minal-jubni, wal-bukhli, wa suuil-‘umri wa fitnatisw-swadri, wa ‘adhaabil-qabri

Ee Allaah, hakika mimi najikinga Kwako uoga na ubakhili na uovu wa umri na fitnah za moyo na adhabu ya kaburi
[An-Nasaaiy, Sunan Abuu Daawuwd kwa usimulizi kuwa Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam)  alikuwa akijikinga nayo mambo hayo]

0 Comments