Du’aa Za Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam)
Kuomba Kinga Ya Balaa Za Madhara, Kukumbwa Na Uovu,
Majaaliwa Mabaya, Bezo La Maadui
أللَّهُمَّ إِنِّي أَعُوذُ بِكَ مِنْ جَهْدِ الْبَلاَءِ وَدَرَكِ الشَّقَاءِ وَسُوءِ الْقَضَاءِ وَشَمَاتَةِ الأَعْدَاءِ
Allaahumma inniy a’uwdhu bika min jahdil-balaai wa darakish-shaqaai wa suw-il-qadhwaai, wa shamaatatil-a’daai
Ee Allaah hakika mimi najikinga Kwako na balaa za madhara [mitihani n.k] na kukumbwa na uovu na majaaliwa mabaya na bezo la maadui
[Al-Bukhaariy, Muslim]
Post a Comment