Du’aa Za Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam)
Kuomba Kinga Ya Kushindwa Kulipa Deni Na Adui Na Bezo La Maadui
اللَّهُمَّ إِنِّي أَعُوذُ بِكَ مِنْ غَلَبَةِ الدَّيْنِ وَغَلَبَةِ الْعَدُوِّ وَشَمَاتَةِ الأَعْدَاءِ
Allaahumma inniy a’uwdhu bika min ghalabatid-dayni, wa ghalabatil-‘aduwwi wa shamaatatil-a’-daai
Ee Allaah hakika mimi najikinga Kwako kushindwa kulipa deni, na kushindwa na adui, na bezo la maadui
[An-Nasaaiy, Ahmad - Swahiyh An-Nasaaiy (3/1113)]
Post a Comment