065-Du'aa Za Nabiy (Swalla-Allaahu 'Alayhi Wa Aalihi Wa Sallaam): Kutoshelezwa Vya Halaal Dhidi Ya Haraam, Kutajirishwa Kwa Fadhila Za Allaah

Du’aa Za Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam)

Kuomba Kutoshelezwa Kwa Vya Halaal Dhidi Ya Haraam
Na Kutajirishwa Kwa  Fadhila Za Allaah 066- Ee Allaah nitosheleze vya halali Yako dhidi ya ya ambavyo ni haramu


 اللَّهُمَّ اكْفِنِي بِحَلالِكَ عن حَرَامِكَ وَأغْنِنِي بِفَضْلِكَ عَمَّنْ سِوَاكَ

Allaahumma akfiniy bi-halaalika ‘an-haraamika waghniniy bi-fadhwlika ‘an man siwaak

Ee Allaah nitosheleze vya halali Yako dhidi ya ambavyo ni haramu Kwako, na nitajirishe kwa fadhila Zako kutokana na asiyekuwa Wewe

[At-Tirmidhiy Taz Swahiyh Sunan At-Tirmidhy (2822)]

0 Comments