066-Du'aa Za Nabiy (Swalla-Allaahu 'Alayhi Wa Aalihi Wa Sallaam): Kujisalimisha Kwa Allaah, Kumwamini, Kutawakali Kwake, Kutubia Kwake...

Du’aa Za Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam)

Kujisalimisha Kwa Allaah, Kumwamini,
Kutawakali Kwake, Kutubia Kwake...
 اللَّهُمَّ لَكَ أَسْلَمْتُ وَبِكَ آمَنْتُ وَعَلَيْكَ تَوَكَّلْتُ وَإِلَيْكَ أَنَبْتُ وَبِكَ خَاصَمْتُ.  اللَّهُمَّ إِنِّي أَعُوذُ بِعِزَّتِكَ لاَ إِلَهَ إِلاَّ أَنْتَ أَنْ تُضِلَّنِي أَنْتَ الْحَيُّ الَّذِي لاَ يَمُوتُ وَالْجِنُّ وَالإِنْسُ يَمُوتُونَ

Allaahumma laka aslamtu, wa bika aamantu, wa ‘alayka tawakkaltu, wa ilayka anabtu, wa bika khaaswamtu. Allaahumma inniy a’uwdhu bika bi’izzatika laa ilaaha illa Anta an-tudhwillaniy Antal-Hayyu Alladhiy  laa yamuwtu wal-jinnu wal-insu yamuwtuwna.

Ee Allaah, Kwako najisalimisha na Kwako naamini na Kwako natawakali na Kwako narejea kutubu na Kwako nagombana [dhidi ya adui]. Ee Allaah, hakika mimi najikinga kwa Utukufu Wako, hapana muabudiwa wa haki ila Wewe Usije kunipotoa Wewe Uliye Hai daima Ambaye Hafi ilhali majini na watu wanakufa

[Muslim, Ahmad]


0 Comments