067-Du'aa Za Nabiy (Swalla-Allaahu 'Alayhi Wa Aalihi Wa Sallaam): Kinga Ya Kuondokewa Neema Za Allaah, Kubadilika 'Aafiyah, Adhabu Ya Ghafla...

Du’aa Za Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam)

Kuomba Kinga Ya Kuondokewa Neema Za Allaah, Kubadilika 'Aafiyah,
Adhabu Ya Ghafla Na Hasira Za Allaah
 اللَّهُمَّ إِنِّي أَعُوذُ بِكَ مِنْ زَوَالِ نِعْمَتِكَ وَتَحَوُّلِ عَافِيَتِكَ وَفُجَاءَةِ نِقْمَتِكَ وَجَمِيعِ سَخَطِكَ

Allaahumma inniy a’uwdhu bika min-zawaali ni’matika, watahawwuli ‘aafiyatika, wafujaa-ati niqmatika, wajamiy’i   Sakhatwika.

Ee Allaah, hakika mimi najikinga Kwako kuondoka na Neema Zako, na kubadilika 'Aafiyah  [afya, amani, salama, hifadhi ya kila baya.] na adhabu Yako ya ghafla na hasira Zako zote

[Muslim,  Abuu Daawuwd]


0 Comments