Imaam Ibn Baaz (Rahimahu Allaah)
SWALI:
Vipi mchinjaji Udhw-hiyah aigawe nyama?
JIBU:
Sunnah kwa mchinjaji ni aile baadhi yake, na aigawe baadhi yake kama zawadi kwa jamaa wa karibu na majirani, na aitolee swadaqah baadhi yake.
[Majmuw’ Fataawa (18/38)
0 Comments