September 1, 2017

IMAAN IBN BAAZ : HUKMU YA KUCHINJA KWA KUTUMIA MKONO WA KUSHOTO

Kuchinja Kwa Kutumia Mkono Wa Kushoto

Imaam Ibn Baaz (Rahimahu Allaah)SWALI:

Kuhusu Udhw-hiya, mimi hutumia kwa vile kawaida siwezi kutumia mkono wa kulia, inafaa?  

JIBU:

Ikiwa utachinja kufuata shariy’ah za kuchinja hakuna neno, AlhamduliLlaah.

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only