IMAAN IBN 'UTHAYMIYN : SALAFIY NI YEYOTE YULE ANAYEFUATA MANHAJ YA MASWAHABA

Salafiy Ni Yeyote Yule Anayefuata Manhaj Ya Maswahaba

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah)Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah) amesema:

“Kila aliye katika Manhaj ya Maswahaba na waliowafuata (Maswahaba) na waliowafuata hao waliowafuata (Maswahaba) kwa wema (Haki) basi naye ni Salafiy hata ikiwa yuko katika zama zetu hizi.


[Nuwr ‘Alaa Ad-Darb, 1/35]

0 Comments