Shaykh Fawzaan (Hafidhwahu Allaah)
SWALI:
Nimesoma Hadiyth ambayo inasema: “Wataingia Peponi watu mioyo yao ni mfano wa mioyo ya ndege…”, nini maana yake?
JIBU:
Maana yake, (mioyo hiyo) haina husda. Ni (mioyo) mitupu isiyo na husda (ndani yake). Ni mioyo kama ya ndege; ndio, na Hadiyth imepokelewa kutoka kwa Rasuli (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam).
Post a Comment