May 17, 2018

01-Fatwa: Nasaha Kwa Mwenye Kulala Asiswali Jama’aah Swalaah Ya Usiku Jamaa’ah

Nasaha Kwa Mwenye Kulala Asiswali Jama’aah Swalaah Ya Usiku   Jamaa’ah 
Shaykh Yahyaa Al-Hajuwriy


SWALI:
Ipi nasaha zako kwa mwenye kulala akapitwa na swalah ya usiku pamoja na Jamaa´ah? 
Nasaha zetu ni kuwa khayr hii isimpite naye ni mtafutaji elimu. Na kasikia kwenye khutbah, mihadhara, tanbihi na nasaha khayr zinazopatikana katika yanayohusiana nayo.

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only