May 17, 2018

05-Fatwa: Anayemfuturisha Mwenye Swawm Ramadhwaan Au Sunnah Anapata Thawabu

Anayemfuturisha Mwenye Swawm Ramadhwaan Au Sunnah Anapata Thawabu 
Shaykh ´Abdul-Muhsin Al-‘Abbaad

SWALI:

Hadiyth: "Mwenye kumfuturisha mwenye swawm ana ujira mfano wake." 
Je, Hadiyth imekusudiwa thawabu zake ni khaswa kwa Swawm ya Ramadhwaan? 

JIBU:
Ni dalili kwamba ni Swiyaam zote (anapata mtu thawabu).

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only