May 15, 2018

Tangazo: Mwezi Haujaonekana, Tunakamilisha Thelathini Sha'baan. Ramadhwaan Itaanza Alkhamiys In Shaa Allaah

Tangazo: Mwezi Haujaonekana, Tunakamilisha Thelathini Sha'baan. Ramadhwaan Itaanza Alkhamiys In Shaa Allaah


Hakuna taarifa zozote tulizozipata za kuonekana mwezi, baada ya juhudi kubwa za kufuatilia kwa karibu sana.

Na kwa kuifanyia kazi Hadiyth ifuatayo, tutakamilisha kesho Jumatano siku thelathini za Sha'baan na in Shaa Allaah Alkhamiys, itakuwa ni siku ya kwanza ya mwezi wa Ramadhwaan.

Amesema Rasuli (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam):

صوموا لرؤيته وأفطروا لرؤيته فإن غم عليكم فأكملوا عدة شعبان ثلاثين (رواه البخاري)

((Fungeni kwa kuonekana (mwezi) na fungueni kwa kuonekana (mwezi) na kama umezingwa na wingu (usionekane) kamilisheni idadi (ya siku 30) za Sha'baan)) [Al-Bukhaariy]

Uislamuwangu.blogspot.com

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only