July 31, 2018

Shaykh Al-Islaam Ibn Taymiyyah - Muziki Ni Mvinyo Wa Nafs

Muziki Ni Mvinyo Wa Nafs
Shaykh Al-Islaam Ibn Taymiyyah

Amesema Shaykh Al-Islaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah) amesema:

"Muziki (na ala zake) ni mvinyo wa nafsi; unaathiri nafsi zaidi ya pombe inavyoathiri inavyonywewa (inavyolewesha)."

[Majmuw' Al-Fataawaa, mj.10, uk.417]

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only