August 20, 2018

Taqabbala Allaahu Minnaa Wa Minkum – Iydul-Adhw-haa Al-Mubaarak

Kwa Munaasabah huu wa furaha wa siku tukufu ya ‘Iyd Al-Adhw-haa tunapenda kuwawasilishia salaam zetu na du'aa njema kwenu wote, tukimuomba Allaah (Subhaanahu Wa Ta'alaa) Atughufurie dhambi zetu na Atutaqabalie 'amali zetu na zenu ‘TAQABBALA ALLAAHU MINNAA WA MINKUM’ (Hivi ndivyo Maswahaba watukufu walivyokuwa wakiambiana pindi wanapokutana katika siku ya 'Iyd).

Kadhaalika, tunamuomba Yeye Allaah ('Azza wa Jalla) kwa Majina Yake mazuri, na Sifa Zake tukufu, Atujaalie sote furaha, amani, mapenzi, siha na iymaan pamoja na thabaat katika masiku yote ya uhai wetu, na Atutakabalie du'aa zetu.

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only