Hadiyth Al-Qudsiy
Hadiyth Ya 7
Mwanaadamu Ameniudhi Analaani Dahari (Zama) Na Hali Dahari Ni Mimi (Nimeziumba)
عن أبي هريرة رضي الله عنه قال: قال رسول الله صلى الله عليه وسلم : ((قال الله عزَّ وجلَّ: ÙŠُؤْذِينِÙŠ Ø¥ِبِÙ† آدَÙ… ÙŠَسُبُّ الدَّÙ‡ْرَ وأنا الدَّÙ‡ْرُ بِÙŠَدِÙŠ الأمْرُ Ø£ُÙ‚َÙ„ِّبُ اللَّÙŠْÙ„َ ÙˆَالنَّÙ‡َار)) البخاري Ùˆ مسلم
Kutoka kwa Abu Hurayrah (Radhwiya Allaahu ‘anhu) ambaye amesema: Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: ((Allaah Aliyetukuka na Jalali Amesema: Mwanaadamu ameniudhi; analaani dahari (zama) na hali zama ni Mimi (Nimeziumba), Mkononi Mwangu ni amri zote Nageuza usiku na mchana)) [Al-Bukhaariy na Muslim]
0 Comments