Surah Najm Mishary Rashid Khalaf Recitation

As salam aleikum ndugu katika Imaan huu ni usomaji mwingine wa qur-aan tukufu kutoka kwa ndugu yetu Shaikh Minshary Rashid hii ni surat Najm, Huu ni usomaji wake Imaam Khalaf kutoka kwa imaam khamzah 9kisomo kiko sawa kabisa hakina kosa lolote la kimatamshi wala kimaandishi labda hujawahi kusikia kisomo cha namna hii kabla) pia tutawaletea na surah nyingine hapa hapa katika tovuti yetu kupitia channel yetu ya youtube.

0 Comments