Imaam Ibn Al-Qayyim: Anayeufungamanisha Moyo Wake Katika Yaliyoharamishwa Atakuwa Mateka Katika Kiza Cha Matamanio

Ibn Al-Qayyim (Rahimahu Allaah)


Imaam Ibn Al-Qayyim (Rahimahu Allaah) amesema:

“Atakayeufungamanisha moyo wake katika yaliyoharamishwa, atakuwa mateka katika kiza cha matamanio.”


Na amesema pia: 

“Moyo uliofungamana katika haramu, kila unapotilia hima kuachana nayo, ili utoke humo, (hujikuta) hurejea humo (kwenye haramu).”


[Rawdhwah Al-Muhibbiyn (597]

0 Comments