01-Zawadi Kwa Wanandoa: Mkataba: Makubaliano Na Maridhiano

Zawadi Kwa Wanandoa

01-Mkataba: Makubaliano Na Maridhiano

عقد الزواجMkataba wa Ndoa ni dalili tosha inayoonesha kuwepo kwa maelewano na makubaliano baina ya pande mbili, na kuridhiana baina ya mke na mume katika kusimamisha mahusiano ya kisheria baina yao. Huwakilishwa maridhiano haya katika maneno yanayotamkwa na yenye kupita baina ya hawa wenye kuwekeana mkataba huu, na huitwa kuwa ni Ijab na Qabuul

0 Comments