05-Imaam Ibn ‘Uthaymiyn: Kuswali Taraawiyh Ramadhwaan Ni Lazima Aswali Mwezi Mzima?

Kuswali Taraawiyh Ramadhwaan Ni Lazima Aswali Mwezi Mzima?

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah)SWALI:

Anayeanza kuswali Taraawiyh inampasa aendelee nayo Ramadhwaan nzima? (Au anaweza kuswali na kuacha?)


JIBU:

La! Si lazima aendelee nayo mwezi mzima kwa sababu ni Sunnah iliyosisitizwa ambayo akiswali atapata thawabu na akiacha hatokuwa na dhambi. Lakini kwa kuacha kuswali atakosa thawabu nyingi kama tulivyobainisha kabla.


[Imaam Ibn ‘Uthaymiyn - Fataawaa Ramadhwaan Mjalada 2, Uk 837  Fataawaa 831, Fiqh Al-'Ibadaat libni 'Uthaymiyn Uk. 205-206]

0 Comments