Ujenzi wa Msikiti mkubwa Afrika Mashariki unaojengwa Dar wafikia Pazuri


Balozi wa Misri, Saudia, Oman, Morocco na Comoro Jana Disemba 12 wametembelea ujenzi wa Msikiti wa Mohammad wa Sita unaondelea kujengwa katika eneo la Kinondoni jijini Dar es Salaam ambapo Msikiti huo unajengwa kwa msaada wa mfalme wa Morocco umefikia asilimia 90.

Chanzo : Muungwana blog

0 Comments