Video : Hali ya utulivu yarejea Bangui, Jamhuri ya Afrika ya Kati baada ya mapigano

Hali ya utulivu imerejea katika mji mkuu wa Jamhuri ya Afrika ya Kati, Bangui baada ya siku mbili za mapigano baina ya makundi mawili hasimu. Mapigano hayo yamesababisha zaidi ya watu 30 kuuawa na wengine wengi kujeruhiwa.

0 Comments