Waislamu Zanzibar wahimizwa kujifunza elimu ya ndoa ili kuepuka talaka holela

Waislamu visiwani Zanzibar hasa vijana wametakiwa kulipa umuhimu suala la elimu ya ndoa ili kupunguza wimbi la talaka za kiholela ambazo kimsingi zinahesabiwa ni sehemu moja ya kukanyaga haki za watoto. Hayo na mengineyo yamo kwenye ripoti ya kila wiki ya matukio ya Kiislamu, Afrika Mashariki, kama inavyoletwa kwenu na mwandishi wetu wa Zanzibar.

0 Comments