02-Mukhtasari Aqiydah Ya Muislamu: Vipi tumuabudu Allaah?

02-Vipi tumuabudu Allaah?

Tumuabudu Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa) kwa ikhlaasw kama Alivyotuamrisha Allaah na Rasuli Wake (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam)

وَمَا أُمِرُوا إِلَّا لِيَعْبُدُوا اللَّـهَ مُخْلِصِينَ لَهُ الدِّينَ
Na hawakuamrishwa isipokuwa wamwabudu Allaah wenye kumtakasia Dini [Al-Bayyinah: 5]

((مَن عمِلَ عمَلاً لَيْسَ عَلَيهِ أمْرُنا فَهُوَ رَدٌّ)) رواه مسلم .
((Atakayetenda kitendo kisichokuwa katika jambo letu kitarudishwa)) [Muslim]

Yaani: Hakitapokelewa.

0 Comments