03-Mukhtasari Aqiydah Ya Muislamu: Je, Tumuabudu Allaah kwa kumuogopa na kutumaini?

Mukhtasari Wa ‘Aqiydah Ya Muislamu
Maswali Na Majibu Pamoja Na Dalili Kutoka Qur-aan Na Sunnah.03- Je, Tumuabudu Allaah kwa kumuogopa na kutumaini?

Naam! Tumuabudu Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa) kwa kumukhofu na kuwa na matumaini
وَادْعُوهُ خَوْفًا وَطَمَعًا ۚ
Na muombeni kwa khofu na matumaini.  [Al-A’raaf: 56]

Yaani: Kukhofu moto na kutumaini Jannah.

((أسألُ اللهَ الجنّة وأعوذ بِهِ مِن النّار)) صحيح رواه أبو داود .
((Namuomba Allaah Jannah na najikinga Kwake kutokana na moto)) [Swahiyh ameipokea Abuu Daawuwd]

0 Comments