Breaking News : Yousuf Ahmed Deedat mtoto wa sheikh Ahmed deedat Ameshamuliwa kwa Risasi Afrika Kusini

inna lilahi wa innah ilaihi rajiuna sheikh yusufu Ahmed deadat mtoto wa aliyekuwa mhubiri maarufu wa afrika ya kusini sheikh ahmed deadat ameuwawa kwa kupigwa risasi huko afrika ya kusini msiba wa umma wa kiislamu ni pale. Endelea kuwa nasi habari kamili itakujia hivi punde Ins haa Llah

0 Comments