VIDEO: Sehemu ya Umati wa Watu iliyojitokeza kupokea mwili wa aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Iran, Jenerali Qassem Soleimani aliyeuawa na Marekani huko Iraq

Sehemu ya Umati wa Watu iliyojitokeza kupokea mwili wa aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Iran, Jenerali Qassem Soleimani aliyeuawa na Marekani huko Iraq

Maelfu ya Watu wamejipanga katika mitaa ya Miji ya Ahvaz na Mashhad huko Iran kutoa salamu za Mwisho

0 Comments