Shaykh Al-Islaam Ibn Taymiyyah - Mja Kuchukia Dhambi Na Kuiacha Ataongezewa Wema

Mja Kuchukia Dhambi na Kuiacha Ataongezewa Wema

Imaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah)Amesema Shaykh Al-Islaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah):
"Kila ambaye nafsi yake itamhadithia juu ya dhambi, kisha akaichukia na kujiepusha nayo na kuiacha, atazidishiwa wema na kumcha Allaah."

[Majmuw' Al-Fataawa, 1/867]

0 Comments