Imaam Ibn Rajab: Hikmah Ya Kukithirisha Kufunga Swiyaam Katika Sha’baan

Hikmah Ya Kukithirisha Kufunga Swiyaam Katika Sha’baanIbn Rajab (Rahimahu Allaah) amesema: 

“Kwa vile mwezi wa Sha’baan ni mwezi wa kabla ya Ramadhwaan, basi yaliyohukumiwa humo ni kama yaliyohukumiwa katika Sha’baan kama Swiyaam na kusoma Qur-aan ili kujitayarisha kukutana na Ramadhwaan na kuzizoesha nafsi kwa haya katika kumtii Ar-Rahmaan”


[Latwaaif Al-Ma’aarifuk. 135]

0 Comments