mwezi umeandama na kesho In Shaa Allaah tarehe 24 April 2020M ni siku ya kwanza ya Ramadhwaan 1441H.

Taarifa tulizopata punde ni kuwa mwezi umeandama na kesho In Shaa Allaah tarehe 24 April 2020M ni siku ya kwanza ya Ramadhwaan 1441H.

muislamublog.com  Inawaombea Waislamu wote Ramadhwaan ya Baraka na tawfiyq ya kutekeleza 'ibaadah za aina mbalimbali kwa wingi na kutaqabaliwa ‘ibaadah hizo mchume thawabu tele, na madhambi kughufuriwa, na kudiriki kuupata Laylatul-Qadr na kuachwa huru kutokanana na Moto. Pia tunamuomba Allaah (عز وجل) Awahifadhi na maradhi yaliyosambaa na Awaepushe na kila shari.   Aamiyn.

0 Comments